Vituo vya Afya Katavi kuanza kutumika rasmi.

In Kitaifa

Shirika la Umeme (TANESCO) mkoa wa Katavi limepewa
mwezi mmoja kuhakikisha majengo yote ya vituo vya afya,
hospitali za wilaya, shule za msingi na sekondari
yanaunganishiwa umeme ifikapo Julai 30, 2023.


Agizo hilo limetoka na Mkuu wa mkoa huo Bi Mwanamvua
Mrindoko, alipotembelea na kukagua kituo cha Afya Kazima
kilichopo Kata ya Kazima Manispaa ya Mpanda.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu