Imeelezwa kuwa viwango vya uzingatiwaji wa maadili kwa viongozi na watumishi wa umma nchini,vimeongezeka hadi kufikia asilimi 75.9 kwa mwaka huu,ikilinganishwa na asilimia 64 ya mwaka 20214.
Hayo yamebainishwa mapema hii leo jijini Dodoma na Waziri wa Utumishi na utawala bora Jenista Mhagama,akisema kuwa hali hiyo imechagangiwa na utashi wa viongozi wa juu wa nchi katika kuhimiza uzingatiwaji wa maadili
