Rappa kutoka marekani, Wacka Floka, amesema kuanzia sasa atayatoa maisha yake kwa ajili
ya kupambana kuzuia suicide (kujiua) na magonjwa ya akili
Ameyaseka haya kupitia kurasa wake wa twitter ambapo aliweka post iliosema, ‘I am
officially dedicating my life to suicide prevention and mentall illness, ya’ll not alone. Wacka
flocka flame is with ya’ll now’
Msanii huyu hakusema kwa hakika ni nini amepanga kufanya, lakini inahisiwa kwamba hii
imesbabishwa na kumpoteza mdogo wake mwaka 2013 ambae alijiua akiwa na miaka 22, na
swala hili lilimsumbua wacka floka kwa muda mrefu sana ambapo katika moja ya interview
aliofanya mwaka 2017, alisema kwamba tangu kumpoteza kayo ambae ni mdogo wake
maisha yake hayajakuwa kama mwanzo, kuna kipindi alilazimika kuwa mlevi na kutumia
madawa ya kulevya ili tu awe amekimbia uhalisia wa mambo.
