Wamachinga Mbeya waipongeza Serikali

In Kitaifa

Wafanyabishara wa Soko la Wamachinga lililopo Old Airport wameipongeza Serikali kupitia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dkt Samia Suluhu Hassan na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Dkt Tulia Ackson kwa Jitihada kubwa Za kuboresha Miundombinu ya Soko hilo.

Wakizungumza kwenye Mkutano wa Hadhara wa kusikiliza na kutatua kero za Wafanyabishara wa Soko hilo ameonesha kuguswa na Jitihada za Serikali kuboresha Miundombinu ya Soko hilo hali itakayowavutia Kufanya biashara zao bila kikwazo.

Aidha Wafanyabishara hao wamesisitiza kuwa Serikali iboreshe zaidi Barabara zinazoingia Sokoni hapo.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya John Nchimbi amesema utaratibu wa Ujenzi wa Barabara unaendelea huku hatua za awali zikifanywa Ili kuanza Utaratibu wa Ujenzi wa barabara inayotoka Kabwe Kuelekea OldAirport.

Akitolea Ufafanuzi wa hayo Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mh Beno Malisa amesema Serikali ya awamu ya Sita itaendelea Kushirikiana na Na Wafanyabishara wadogo Machinga kwa kuwaboreshea mazingira ya kifanyia biashara zao.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu