Wanachama CWT wafunga ofisi ya katibu Nyamagana.

In Kitaifa

Sintofahamu imeendelea kuibuka ndani ya Chama cha Walimu
Tanzania (CWT) baada ya wanachama kufunga ofisi ya Katibu
wa chama hicho wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza
wakishinikiza kuitishwa kwa mkutano mkuu wa dharura wa
chama hicho.


Mjumbe wa Kamati ya Chama Walimu Tanzania CWT Wilaya
ya Nyamagana mkoani humo Perezi Siwiti,amesema wamefikia
uamuzi huo baada ya kuona hitaji la wanachama na wajumbe wa
chama hicho la kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa CWT wilaya
halitekelezwi.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu