Wanafunzi 56 wafariki kwa kugongwa barabarani.

Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani Nchini Willbroad
Mutafungwa, amezungumza na waandishi wa habari na kutoa
ripoti za usalama barabarani zikiwemo takwimu za ajali,ambapo
zimetajwa kuongezeka.

Exit mobile version