Wanafunzi wa shule ya st.Mary Goretti pre & Primary School leo wametembelea kituo cha Radio5fm Arusha
na kujifunza jinsi kinavyorusha matangazo yake.
Mkuu wa vipindi Semio Sonyo akitoa maelekezo mbalimbali kwa wanafunzi
wa St.Mary Goretti.
Wanafunzi wa St.mary Goretti wakiwa katika studio za Radio5fm.
Mwanafunzi wa St.Mary Goretti Noreen aliyeonekana kinara wa kuuliza maswali.
Picha ya pamoja wanafunzi wa shule ya St.Marry Goretti na Mkurugenzi
wa kituo cha Radio5fm ndg Robert Francis
