Wanafunzi wa shule ya st.Mary Goretti watembelea kituo cha Radio5fm.

Wanafunzi wa shule ya st.Mary Goretti pre & Primary School leo wametembelea kituo cha Radio5fm Arusha

na kujifunza jinsi kinavyorusha matangazo yake.

Mkuu wa vipindi Semio Sonyo akitoa maelekezo mbalimbali kwa wanafunzi

wa St.Mary Goretti.

Wanafunzi wa St.mary Goretti wakiwa katika studio za Radio5fm.

Mwanafunzi wa St.Mary Goretti Noreen aliyeonekana kinara wa kuuliza maswali.

Picha ya pamoja wanafunzi wa shule ya St.Marry Goretti na Mkurugenzi

wa kituo cha Radio5fm ndg Robert Francis

Exit mobile version