Wanafunzi wa VETA Iringa wapewa siku 7 kuripoti.


Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mh Shaibu Ndemanga ametoa siku
nne kwa wanafunzi wote wa chuo cha ufundi stadi VETA
ambao hawajaripoti chuoni kuripoti mara moja kwani kinyume
na hapo watachukuliwa hatua.


Mpaka sasa ni wanafunzi 58 pekee ndio wameripoti chuoni hapo
kati ya wanafunzi 200 ambapo licha ya uchache wao tayari
masomo yameazwa kufundishwa kama kawaida huku tahadhari
ya corona ikichukuliwa.

Exit mobile version