Wanafunzi wa vyuo wapewe mkopo ndani ya siku 3.

Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako
ametoa muda wa hadi kufika Ijumaa wiki hii ambayo itakuwa
Juni 5, 2020, vyuo vyote vya elimu ya juu hapa nchini viwe
vimemaliza kuwapa fedha za kujikimu wanafunzi wote na si
vinginevyo.


Amesema hayo leo Juni 6, 2020 wakati akizungumza baada ya
kukabidhi magari manne kwa chuo cha taifa cha usafirishaji
(NIT).

Exit mobile version