Wanajeshi wa Ufaransa wauawa,na zaidi ya waasi 20 wakamatwa katika mpaka wa Mali na Burkina Faso.

In Kimataifa
  Ufaransa inasema wanajeshi wake wamewauawa na kuwakamata zaidi ya waasi 20 katika mpaka wa Mali na Burkina Faso.
Jeshi nchini humo linasema kuwa liliwashambulia waasi hao kwa mashambulizi ya angaa lakini haijafahamika walikuwa ni waasi gani.
Hatua hii imekuja baada ya kuuawa kwa mwanajeshi wa Ufaransa katika eneo hilo mwezi Aprili.
Mali imeendelea kukabiliwa na waasi na mwaka 2013, iliomba msaada wa jeshi la Ufaransa ambalo limekuwa likifanya msako na kusaidia mapambana na waasi hao.
Mashambulizi haya yamekuja baada ya bunge la Mali mwishoni mwa wili iliyopita, kupitisha mswada wa kuendelea kuwepo kwa hali ya hatari Kaskazini mwa nchi hiyo kwa sababu za kiusalama.
Ufaransa imetuma wanajeshi wake 4000 kupambana na waasi Kaskazini mwa Mali

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Maagizo ya wizara kuhusu mfuko wa maendeleo ya kilimo.

Naibu Waziri Wa Kilimo Anthony Mavunde, amesema serikaliimeanza kutekeleza uanzishwaji wa mfuko wa maendeleo yakilimo utakaosaidia kukabiliana na changamoto

Read More...

TANZIA: WAZIRI MSTAAFU WA KILIMO AFARIKI DUNIA

Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Musoma Vijijini na Waziri wa Kilimo na Mifugo Mhe. Herman Kirigini Amefariki Dunia. Akithibitisha

Read More...

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Professor Makame Mbarawaameliomba Bunge kumuidhinishia kiasi cha Sh Trilioni 3.6ikiwa ni makadirio ya mapato

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu