Wananchi walalamika kusumbuliwa na Simba.


Wananchi wa kijiji cha Namakambale Wilayani Tunduru
Mkoani Ruvuma wanaishi kwa hofu ya kushambuliwa na Simba
na Fisi wanaojificha katika msitu wa misheni wakitokea mapori
mengine ya hifadhi kutokana na eneo hilo kubwa lenye ekari
500 kushindwa kuendelezwa na kugeuka pori.

Exit mobile version