Wanaochoma nyumba ili walipwe na bima kukamatwa.


Meneja wa shirika la bima ya taifa mkoa wa Arusha na Manyara
ndugu Johh Mdenye amesema kuwa shirika hilo litawachukulia
hatua wale wote wanaojitengenezea matukio ili waweze kulipwa
fidia na shirika hilo.


Ndugu mdeme ameyasema hayo katika mafunzo kwa maafisa
wa serikali katika mkoa wa Arusha kuhakikisha kuwa mali zote
za serikali zinakatia bima hususani katika mkoa wa Arusha.


Mtaa wa mastory tumeinasa sauti yake akizungumza mambo
kadha kuhusu mafauanzo ya bima waliyokuwa wakiyatoa,na
baadhi ya changamoto wanazokutana nazo ndani ya shirika hilo.

Exit mobile version