Watu 193 wawekwa karantini kisa virusi vya Marburg.

Mganga Mkuu wa serikali Dkt Tumaini Nagu,amesema hakuna kisa kipya kilichoongezeka kuhusu vifo vilivyosababishwa na virusi vya Ugonjwa wa Marburg katika Kata ya Maruku na Kanyangereko Halmashauri ya Bukoba Mkoani Kagera.

Amesema mpaka Sasa Serikali kupitia Wizara ya Afya imewaweka karanteen wananchi 193, waliochangamana na wagonjwa na Kati ya hao 89 ni watumishi wa Wizara ya Afya.

Exit mobile version