Watu 4 wakamatwa kuharibu miundombinu ya Reli.

Jeshi la polisi Kikosi cha TAZARA limewakamata watu wanne
kwa tuhumza za kuharibu miundombinu ya Reli kwa kufungua
vyuma vinavyounganisha Reli baada ya operesheni maalum
ilifanyika katika kipindi cha tarehe 1 hadi 31 mwezi March
2022.

Exit mobile version