Watu zaidi ya wawili wamefariki kutokana na ugonjwa usiojulikana nchini Liberia.

In Kimataifa

Watu wawili zaidi wamefariki kutokana na ugonjwa usiojulikana ambao uliwaambukiza watu waliohudhuria mazishi mapema wiki hii katika kaunti ya Sinoe nchini Liberia kusini mashariki mwa mji mkuu Monrovia.

Vifo hivyo vinafikisha idadi ya watu waliofariki kuwa 11.

Watu watano kwa sasa wametengwa na wengine wanne wameruhusiwa kuondoka hospitalini ,baada ya kupata nafuu.

Mamlaka hata hivyo zinasema kuwa, si mlipuko mwingine wa Ebola.

Uchunguzi bado haujaonyesha chanzo cha ugonjwa huo usiojulikana lakini wizara ya afya, ina mpango wa kupeleka sampuli za damu katika mahabara za ngambo ikiwemo Marekani.

Maafisa wamewashauri watu kuchukua tahadhari zilizochukuliwa wakati wa mlipuko wa Ebola ,ikiwemo kuosha mikono.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Serikali kuunga mkono juhudi za Taasisi mbali mbali.

Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi, amesema serikaliitaendelea kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Taasisi yaZanzibar Maisha Bora Foundation,pamoja na

Read More...

DKT. KIRUSWA AZINDUA MFUMO WA USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA KATIKA SEKTA YA MADINI

Watanzania waendelea kunufaika Sekta ya Madini, ajira 15,341 zamwagwa, manunuzi ya ndani ya nchi yafikia Dola za Marekani bilioni

Read More...

MAFURIKO YAUWA 190 MALAWI

Takriban watu 190 sasa wamethibitishwa kufariki nchini Malawi baada ya Dhoruba ya Mafuriko ya Tropiki Freddy kulikumba eneo

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu