Waziri Jafo awataka chunguzeni mlele.


Waziri wa TAMISEMI ndugu Suleiman Jafo,ameitaka Taasisi
ya kuzuia na kupambana na rushwa mkoani Katavi kuchunguza
Halmashauri ya Mlele kutokana na kuwepo viashiria vya
Rushwa.


Waziri Jafo amelizungumza hilo akiwa katika eneo la Wilaya ya
Mpanda ambako yupo kwa ziara ya kikazi,ambayo ameifanya
pia katika mikoa ya Morogoro,Pwani,Iringa,Songwe na Rukwa.

Exit mobile version