Waziri mkuu: Watanzania tuwe makini.


Waziri mkuu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Kassim
Majaliwa, amewataka watanzania kutoiachia serikali suala la
ulinzi na usalama kwani ni swala la kila mtu.
Waziri mkuu Majaliwa ametaka wananchi hasa wa mikoa
iliyopo mipakani kuwa makini na wanoingia nchini,ili wasije
wakaingia na silaha na kutuharibia amani yetu.

Exit mobile version