Waziri wa Afya afika Hosptal ya Amana.

Waziri wa Afya Mhe Jenista Mhagama leo ametembelea
hospitali ya Amana ambapo baadhi ya majeruhi na walifariki
katika ajali ya Ghorofa lililoporomoka Kariakoo jijini dar es
Slaam wamehifadhiwa katika hospitali hiyo.


Kutika katika eneo la Hospitali ya Amani Mtaa wa Mastory
tumeinasa sauti ya Waziri Jenista Mhakama akizungumza na
kutoa salamu za pole kwa baadhi ya ndugu na watanzania
walifika katika hospitali hiyo.

Exit mobile version