WAZIRI wa Mambo ya dani ya Nchi MWIGULU NCHEMBA amemwagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP)ERNEST MANGU kufuatilia tukio la askari polisi mmoja jijini Dar es Salaam aliyemtisha kwa risasi aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha ADAM MALIMA.

In Kitaifa

WAZIRI wa Mambo ya dani ya Nchi MWIGULU NCHEMBA amemwagiza  Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP)ERNEST MANGU kufuatilia tukio la askari polisi mmoja jijini Dar es Salaam aliyemtisha kwa risasi aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha  ADAM MALIMA.

Akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo MWIGULU amesema amelazimika kutoa agizo hilo ili ajue ukweli wa tukio hilo baada ya kupewa taarifa sahihi kwa sababu hadi sasa hajui suala hilo kwa undani.
Ameitaka jamii ivumilie kidogo wakati anasubiri taarifa hiyo na baadaye atatoa taarifa sahihi.

Wakati MWIGULU akisema hayo Mbunge wa Buyungu KASUKU BILAGO baada ya kipindi cha maswali na majibu ameomba muongozo kwa Mwenyekiti wa Bunge MUSSA ZUNGU akitaka kujua ni hatua gani zitachuliwa na Serikali ili kukabiliana na matumizi ya silaha hadharani.

 

akijibu muongozo huo ZUNGU amesema mpaka sasa  taarifa za tukio hilo hazijalifikia Bunge lakini kwa kuwa Serikali ipo bungeni na imelisikia, anaamini italifanyia kazi.

 

 

 

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Serikali kuunga mkono juhudi za Taasisi mbali mbali.

Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi, amesema serikaliitaendelea kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Taasisi yaZanzibar Maisha Bora Foundation,pamoja na

Read More...

DKT. KIRUSWA AZINDUA MFUMO WA USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA KATIKA SEKTA YA MADINI

Watanzania waendelea kunufaika Sekta ya Madini, ajira 15,341 zamwagwa, manunuzi ya ndani ya nchi yafikia Dola za Marekani bilioni

Read More...

MAFURIKO YAUWA 190 MALAWI

Takriban watu 190 sasa wamethibitishwa kufariki nchini Malawi baada ya Dhoruba ya Mafuriko ya Tropiki Freddy kulikumba eneo

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu