Wema Sepetu ala Shavu hili Kenya

Malkia wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu amekava jarida kubwa la True Love Magazine East Africa la nchini Kenya.

Wema Sepetu kwenye Jarida hilo

Kwa sasa jarida hilo linaingia mtaani katika msimu huu wa pasaka. Kupitia Instagram, True Love Magazine East Africa, wameshare cover lake ambalo limepokelewa na maoni tofauti.

Katika jarida hilo Wema amezungumzia hela, wanaume pamoja na maisha yake kwa ujumla.

Exit mobile version