Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dr. Mpoki Ulisubisya amesema kiwanda hicho kitakuwa cha kwanza cha aina hiyo barani Afrika na kinatarajiwa kukabili tatizo la upngufu wa vifaa katika hospitali nchini ikiwa ni pamoja kutoa mafunzo kwa Watanzania ili kujenga uwezo wa kuvitumia na kuvitengeneza pindi vinapoharibika.