Wizara ya Kilimo, Maliasi, Mifugo na Uvuvi visiwai zanzibar, imesema mwelekeo wa wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2017/2018, ni kuimarisha kilimo kwa kutumia teknolojia ya kisasa.

Wizara ya Kilimo, Maliasi, Mifugo na Uvuvi visiwai zanzibar, imesema mwelekeo wa wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2017/2018, ni kuimarisha kilimo kwa kutumia teknolojia ya kisasa.

Hayo uyamesemwa na waziri wa wizara hiyo Hamad Rashid Mohamed, alipokuwa akisoma hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo.

Amesema watahakikisha wanaendeleza utoaji wa huduma za matrekta na zana zake, na kuhakikisha upatikanaji wa vifaa na vipuri kwa ajili ya huduma za kilimo.

Ameongeza kuwa watahakikisha pia kuendeleza uzalishaji wa mazao ya viungo, kwa ajili ya usafirishaji nje ya nchi ikiwamo zao la vanilla na pilipili hoho.

Exit mobile version