Wizara ya Mambo ya Nje na Afrika Mashariki, imebainisha faida za ziara za viongozi wa kimataifa takribani 10 nchini.

Wizara ya Mambo ya Nje na Afrika Mashariki, imebainisha faida za ziara za viongozi wa kimataifa takribani 10 nchini.

Marais hao pamoja na wajumbe mbalimbali kutoka nchi za nje, wamefanikisha kusainiwa kwa mikataba takribani 40 ya miradi ya maendeleo.

Pamoja na hayo wizara hiyo imesema kuwa, Umoja wa Mataifa umepongeza juhudi za Rais John Magufuli, kutekeleza vyema kanuni za utalawa bora ndani na nje ya nchi.

Waziri wa Mambo ya Nje na Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga, ameyasema hayo mjini Dodoma wakati akiwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2017/18.

Exit mobile version