Club ya Yanga ipo katika mchakato wa kumrejesha Kocha wake mapema hapa nchini kutoka huko alipo Ubelgiji alipokwama kutokana na mipaka yao kufungwa kutokana na sekeseke la virusi vya Corona.