Yanga, wajipanga kuimaliza Stand United.

In Kitaifa, Michezo

Kambi ya mabingwa watetezi Yanga mjini Tabora iko vizuri na wanachotaka ni kumalizia kazi ya kuondoka na pointi sita Kanda ya Ziwa.

Yanga wameamua kuweka kambi mjini Tabora kabla ya kurejea mjini Shinyanga ambako watawavaa Stand United maarafu kama chama la wana.
Mmoja wa maofisa wa Yanga amesema watajiandaa vizuri na kurekebisha mambo kadhaa ambayo wameyaona katika mechi ya dhidi ya Kagera Sugar.

Yanga iliitwanga Kagera Sugar kwa mabao 2-1 nyumbani kwake uwanja wa Kaitaba katika mechi ngumu ya kuvutia ya Ligi Kuu Bara.

Lakini Stand United wamekuwa wakitamba kwamba wataizuia Yanga na kuhakikisha haindoki na pointi mjini hapo.

Stand United wako mkiani wakiwa na point nne tu, juu ya Kagera Sugar na wanaonekana kutaka kujikwamua kutoka walipo.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

JUMLA YA WATU 2249 VISIWA VYA MULEBA WAPATIWA ELIMU YA UGONJWA WA MARBURG .

Baadhi ya Watalaam wa Afya kutoka Wizara ya Afya wakitoa Elimu katika kisiwa Cha Rushonga kilichopo ndani ya ziwa

Read More...

MAANDALIZI DIRA YA MAENDELEO 2050 YAANZA

SERIKALI  imeanza mchakato Wa kuandaa Dira Mpya ya Maendeleo 2050 ambapo wadau wote katika maeneo yao wametakiwa kushiriki kikamilifu

Read More...

Viwango vya maadili kwa viongoiz yaongezeka.

Imeelezwa kuwa viwango vya uzingatiwaji wa maadili kwa viongozi na watumishi wa umma nchini,vimeongezeka hadi kufikia asilimi 75.9 kwa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu