Yanga yawavaa mashabiki Wanaotukana Wachezaji.


Klabu ya Soka ya Yanga imewaonya mashabiki ambao
wanatumia muda wao kwenye vyombo vya habari kuwatukana
wachezaji na kupigana wenyewe kwa wenyewe.


Hayo yamejiri katika mchezo wa Yanga dhidi ya Azam FC
uliochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na matokeo
kuwa suluhu ya bila kufungana.

Exit mobile version