Chadema jimbo la kibamba ya watetea wamachinga.

Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema kupitia kwa
Mwenyekiti wa chama hicho katika jimbo la kibamba Ndugu
Ernest Mgawe leo wamezungumza na wanahabri na kuongelea
mambo mbali mbali.


Moja ya suala walilolizungumzia ni kuhusiana na miundombinu
mibovu ya barabara katika jimbo hilo,pamoja na Machinga
kuhamishwa katika maeneo yao kwa kuvunjiwa vibanda vyao
usiku.

Exit mobile version