HATUTAWAACHIA CCM NAFASI TUTASHIRIKI UCHAGUZI MKUU – ACT WAZALENDO

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesema chama hicho kitashiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 16 muda mfupi baada ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Othman Masoud Othman kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kuteuliwa kuwa mgombea urais katika uchaguzi mkuu, Doroth amesema hawatofanya makosa kususia uchaguzi.

Exit mobile version