JPM Ahutubia Bunge la EALA

Rais Magufuli ametoa wito kwa wabunge hao kulinda na kuhamasisha wawekezaji na kuwekeza kwenye Ukanda wa Afrika Mashariki ambapo kuna soko kubwa.

“Kwanini tuvae viatu ambavyo havijatengenezwa nchi za Afrika Mashariki? Kwanini tununue nyama kutoka nje wakati tuna ng’ombe wengi zaidi,? Kwanini tununue samaki wakati tumezungukwa na maziwa na mito na bahari. Haya maswali lazima tujiulize ili kusaidia Jumuia kufikia hatua nzuri kwa manufaa ya wananchi wetu ambao wengi ni maskini.” Alisema JPM.

Exit mobile version