KANYE WEST, FUTURE NA KENDRICK LAMAR KUPAMBA TAMASHA LA ROLLING LOUD 2022

Wakali wa rap Kanye West, Future na Kendrick Lamar Wataongoza kwenye tamasha la Rolling Loud ndani ya ukumbi wa Hard Rock, Miami Gardens julai mwaka huu.

Tamasha hilo la muziki linalosubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki litafanyika kwa siku tatu mfululizo kuanzia tarehe 22 hadi 24 Julai, pia litashambuliwa na wakali wengine kama Kodak Black, Lil Baby, Playboi, Lil Uzi Vert, Gunna, Gucci Mane, 2 Chainz, Lil Durk na wengine wengi.

Exit mobile version