Muhimbili wapewa miezi 2 kuboresha utoaji huduma.

Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili umepewa miezi
miwili kujitathimini uwezo wao wa usimamizi wa kutoa huduma
na kuboresha huduma kwa wateja.


Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin
Mollel alipokuwa akizungumza na Viongozi wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Afya wakijadili kuhusu uboreshaji wa
huduma za afya nchini.

Exit mobile version