Mwigamba na wenzake wajiunga na CCM.

Baadhi viongozi waliokuwa katika Chama cha ACT-Wazalendo wakiongozwa na Samson Mwigamba, leo wametangaza kujivua uanachama wa chama hicho na kujiunga na CCM.

Uamuzi huo umetolewa leo na aliyekuwa mwenyekiti wa Kamati ya Kampeni na Uchaguzi Taifa ya Chama hicho Samson Mwigamba, ambaye alijihuzulu hivi karibuni na kubaki kuwa mwanachama wa kawaida.

Mwigamba amesema wameamua kuchukua uamuzi huo, kwa madai ya kuwa ameona kuna mambo ndani ya chama hicho hayaendi sawa.

Kama huwafahamu ni kina nani wengine na vyeo walivyokuwa navyo waliojivua uanachama wa ACT-Wazalendo na kujiunga CCM, hawa hapa wanatajwa na Samson Mwigamba.

 

Exit mobile version