Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Vitimaalumu (CHADEMA) utawasili Arusha kesho.

Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa viti maalumu (CHADEMA) Dkt.Elly Marko Macha umewasili Nchini,na utawasili Arusha kesho Aprili 21 saa nane mchana.

Mwili wa Dkt.Macha utapokelewa katika uwanja wa ndege wa kimataifa Kilimanjaro International Airport (KIA),Mwili utapelekwa nyumbani kwake Usariver kwaajili ya kutoa heshima za mwisho.

 

Mwili wa Dr.Elly Macha ulivyopokelewa uwanja wa ndege wa Dar es saalam Leo.

Waombolezaji walivyojipanga kuupokea Mwili wa

Dr.Elly Macha.

 

Exit mobile version