TFF watoa ratiba mechi za kirafiki za Taifa Stars.

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF, Leo machi 21,
wamezungumza na waandishi wa habari jijini DSM , katika
kuelekea michezo ya kirafiki ya Taifa Stars, ambapo mashabiki
na watanzania wote kwa ujumla wakiwemo waandishi wa
habari, wameombwa kuhudhuria kwa wingi katika michezo
hiyo.


Hayo yamebainishwa na Clifford Omary Ndimbo ambae ni
Afisa Habari TFF sambamba na michezo ya kifariki Ndimbo
ametanabaisha na viingilio.

Exit mobile version