Uchambuzi juu ya kuanza kwa mwaka mpya wa fedha

Mpango wa Serikali kwa mwaka mpya wa fedha unaoanza leo Julai 01 2024 ni pamoja na kushughulikia wapigaji serikalini kwa kuzungumza na vyombo vinavyohusika na maadili, huku suala la upungufu wa sukari likitarajiwa kuwa historia mwakani.

Mbali na hayo yapo mambo ambayo yanayowagusa wananchi moja kwa moja pamoja na wafanyabiashara,mtaa wa Mastory tumezungumza na ndugu Walter Nguma mchambuzi wa masuala ya uchumi hapa nchini,kutaka kujua wananchi na wafanyabiashara watarajie nini kutoka na kuanza kwa mwaka mpya wa fedha wa serikali 2024/25 hii leo.

https://www.radio5fm.co.tz/wp-content/uploads/2024/07/Insert-1-Walter-3.mp3
Exit mobile version