Rais wa Msumbiji kufungua maonesho ya sabasaba

In Kitaifa

Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji ambaye anatarajiwa kuwasili nchini kesho kuanza ziara ya kikazi, anatarajiwa kufungua rasmi Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Dar es Salaam maarufu Sabasaba Julai 03, 2024.

Mtaa wa mastory imenasa sauti ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) Latifa Khamis akieleza hayo ambapo amesema Rais Samia Suluhu Hassan ndiye ameidhinisha Rais huyo wa Msumbiji kufungua maonesho hayo.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WATANZANIA WATAKIWA KUIUNGA MKONO JKT QUEENS

MKUU wa JKT Meja Jenerali RAJABU MABELE, amewataka watanzania kuiunga mkono timu ya JKT Queens inayokwenda kuliwakilisha Taifa na

Read More...

SERIKALI YATOA BIL 424.6 UTEKELEZAJI MIRADI YA TANRODS RUKWA-ENG MWANGA

KATIKA kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu