Category: Kimataifa

MAFURIKO YAUWA 190 MALAWI

Takriban watu 190 sasa wamethibitishwa kufariki nchini Malawi baada ya Dhoruba ya Mafuriko ya Tropiki Freddy kulikumba eneo

Read More...

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMATATU MACHI 6, 2023

Manchester United inamfuatilia mshambuliaji wa Roma Tammy Abraham, lakini klabu yake ya zamani Chelsea imekataa kwanza kumsajili mchezaji huyo

Read More...

Wagner atajwa kuwa mhalifu wa kivita.

Mwanasheria mkuu wa Marekani siku ya Jumatano alimtaja Yev-geny Prig-ozhin mkuu wa jeshi la mamluki la Russia Wagner linalopigana

Read More...

TETESI ZA SOKA ULAYA

Manchester United wana nia ya kumsajili mshambuliaji wa Uingereza Tammy Abraham, 25, anapiga soka ya kulipwa katika klabu ya

Read More...

ULAYA YAPIGA MARUFUKU MAFUTA YA DIZELI RUSSIA

Ulaya Jumapili imepiga marufuku kwa mafuta ya dizeli ya Russia na bidhaa nyingine za mafuta yaliyosafishwa, ikipunguza utegemezi wa

Read More...

Waziri wa Ulinzi wa Ukraine Kung’atuliwa

Mbunge mwenye ushawishi mkubwa nchini Ukraine amesema waziri wa ulinzi wa nchi hiyo Oleksii Reznikov ataondolewa na nafasi yake

Read More...

Ali Reza Akbari ahukumiwa kifo

Iran imemuhukumu kifo afisa mkuu wa zamani wa ulinzi baada kumkuta na hatia kwa mashtaka ya kuifanyia ujasusi Uingereza,

Read More...

Polisi wakamata usafiri uliotumika kuutupa mwili Chiloba

Miongoni mwa waliokamatwa ni watoto wawili huku mshukiwa mkuuJackton Odhiambo akikiri kumuua mwanamitindo huyo kwa usaidizi wawashirika wawili ambao

Read More...

Somaliland yagundua Mafuta

Jamhuri iliyojitangaza ya Somaliland imetangaza kugunduliwa kwa kisima cha mafuta katika eneo la Salhayey eneo la Marodi-Jeh, wizara yake

Read More...

140 Wafariki kwa Mafuriko Congo

Watu 140 wamethibitishwa kufariki na wengine kadhaa kujeruhiwa kafuatia mafuriko yaliyotokea sehemu mbalimbali katika mji mkuu wa Kinshasa, huko

Read More...

Mobile Sliding Menu