Author: contributor contributor

Saba washikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya hakimu.

Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu saba kwamauaji ya Hakimu Mkazi wa wilaya ya Handeni mkoani TangaJoachim Mwakyolo

Read More...

Ali Reza Akbari ahukumiwa kifo

Iran imemuhukumu kifo afisa mkuu wa zamani wa ulinzi baada kumkuta na hatia kwa mashtaka ya kuifanyia ujasusi Uingereza,

Read More...

Polisi wakamata usafiri uliotumika kuutupa mwili Chiloba

Miongoni mwa waliokamatwa ni watoto wawili huku mshukiwa mkuuJackton Odhiambo akikiri kumuua mwanamitindo huyo kwa usaidizi wawashirika wawili ambao

Read More...

Tetesi za Soka Ulaya

Arsenal wana nia ya kumsajili nyota wa Barcelona Alejandro Balde huku beki huyo wa pembeni wa Hispania mwenye umri

Read More...

Somaliland yagundua Mafuta

Jamhuri iliyojitangaza ya Somaliland imetangaza kugunduliwa kwa kisima cha mafuta katika eneo la Salhayey eneo la Marodi-Jeh, wizara yake

Read More...

WAKAZI WA ARUSHA WAHIZWA KUTUNZA AMANI YA JIJI LA ARUSHA AMBALO NI KITOVU CHA UTALII NCHI

Na. Abel Paul wa Jeshi la Polisi Wananchi wa jiji la Arusha wamehimizwa kutunza amani na utilivu wa jiji hilo

Read More...

140 Wafariki kwa Mafuriko Congo

Watu 140 wamethibitishwa kufariki na wengine kadhaa kujeruhiwa kafuatia mafuriko yaliyotokea sehemu mbalimbali katika mji mkuu wa Kinshasa, huko

Read More...

PUTIN AUFUTA MKUTANO WA KILA MWAKA NA WAANDISHI WA HABARI

Rais wa Russia Vladimir Putin amefutilia mbali mkutano wa waandishi wa habari kama ilivyo kawaida yake kila mwisho wa

Read More...

PICHA: RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI MBALIMBALI KATIKA MKUTANO WA AGRA JIJINI WAHINGTON MAREKANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali kuhusu masuala ya Kilimo

Read More...

BIDEN AIPA MSAADA AFRIKA WA DOLA BILIONI 55

Marekani imetangaza msaada wa dola bilioni 55 kwa nchi za Afrika, ndani ya kipindi cha miaka mitatu ijayo. Tangazo hilo

Read More...

Mobile Sliding Menu