Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi, amesema serikaliitaendelea kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Taasisi yaZanzibar Maisha Bora Foundation,pamoja na
Watanzania waendelea kunufaika Sekta ya Madini, ajira 15,341 zamwagwa, manunuzi ya ndani ya nchi yafikia Dola za Marekani bilioni
Takriban watu 190 sasa wamethibitishwa kufariki nchini Malawi baada ya Dhoruba ya Mafuriko ya Tropiki Freddy kulikumba eneo
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua programu ya kompyuta maarufu kama JIBA App iliyotengenezwa na taasisi ya kibiashara ya Jaffery
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi amefurahishwa na ushirikiwaji
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka vijana wasiogope kukopa ili kupata fedha za mitaji ya kibiashara lakini pia akawasisitiza wawe
Mkuu wa Wilaya ya Momba Mkoa wa Songwe Fakii Lulandala ametoa amri ya kukamatwa na kuhojiwa kwa saa arobaini
Wizara ya Fedha na Mipango yakanusha taarifa inayosambaa mitandaoni ikidai kuwa Benki va Uwekezaji ya Ulaya EIB, naidai Tanzania
Manchester United inamfuatilia mshambuliaji wa Roma Tammy Abraham, lakini klabu yake ya zamani Chelsea imekataa kwanza kumsajili mchezaji huyo
Mwanasheria mkuu wa Marekani siku ya Jumatano alimtaja Yev-geny Prig-ozhin mkuu wa jeshi la mamluki la Russia Wagner linalopigana