MAFURIKO YAUWA 190 MALAWI

Takriban watu 190 sasa wamethibitishwa kufariki nchini Malawi baada ya Dhoruba ya Mafuriko ya Tropiki Freddy kulikumba eneo

Read More...

TANZANIA haidaiwi 4.1 Bilioni na EIB Wizara ya mipamgo yakanusha.

Wizara ya Fedha na Mipango yakanusha taarifa inayosambaa mitandaoni ikidai kuwa Benki va Uwekezaji ya Ulaya EIB, naidai Tanzania

Read More...

Waziri awaita watakaosaidia nchi kupata mafuta bei rahisi.

Waziri wa Nishati Mhe Januari Makamba, ametoa wito kwa Watanzania wote kutoa ushirikiano katika ununuzi wa mafuta kwa kuwasiliana

Read More...

KIVUMBI UCHAGUZI ANGOLA

Tume ya uchaguzi ya Angola imesema asilimia 86 ya kura zote tayari zimehesabiwa, ambapo zinaonyesha kuwa Chama tawala cha

Read More...

Uchaguzi wa Kenya 2022.

Naibu wa rais nchini Kenya amesema kwamba Wakenya watajiamulia kuhusu mgogoro wa kisiasa kati yake na rais Uhuru Kenyatta. Kwa takriban miaka

Read More...

TTCL kuwafikia Vijijini.

Shirika la simu Tanzania Tccl kanda ya kaskazini imeweka mikakati maalumu ya kuifikia jamii ili waweze kuwaelewa zaidi

Read More...

WhatsApp Kuanzisha Huduma ya WhatsApp Money kwa ajili ya kutuma na kupokea Fedha

Hakika Mtandao Namba moja Duniani kwa Kutumiana Jumbe na Mafaili mbalimbali, WhatsApp wameamua kwamba Airtel Money, M-Pesa na Tigo

Read More...

Chaguo la mhariri

Viwango vya maadili kwa viongoiz yaongezeka.

Imeelezwa kuwa viwango vya uzingatiwaji wa maadili kwa viongozi na watumishi wa umma nchini,vimeongezeka hadi kufikia asilimi 75.9 kwa

Read More...
big-banner

Mazulia

Mazulia ni mapambo mazuri na yenye kupendezesha nyumba hasa yakiwekwa kwenye mpangilio wa kuvutia. Yapo mazulia ya aina mbalimbali

Read More...

MATUMIZI YA NDIZI KATIKA UREMBO

Mbali na kulika, ndizi zina manufaa mengine, hasa katika urembo wa ngozi. Ndizi zina virutubisho muhimu vinavyoboresha ngozi. Ndizi pia

Read More...

Kim Kardashian atoa Somo kwa Wanamitindo

  Kim Kardashian Mwanamitindo Maarufu Duniani na Mama wa Watoto Wawili, Kim Kardashian ambaye ni mke halali

Read More...

Mobile Sliding Menu