Baada ya maandamano yaliyofanyika nchini Kenya juu ya Muswa wa sheria ya Fedha,leo tumezungumza na ndugu Daniel Orogo mchambuzi wa siasa za Kenya,kutaka kujua zaidi hali inavyoendelea nchini humo.
Utakumbuka pia jana Rais wa Kenya Willium Ruto,aliwekwa kiti moto akihojiwa maswali mbalimbali juu ya mustakabali ya taifa hilo hususani katika siasa.
Mtaa wa Mastory kwa uzuri tunamsogeza kwako ndugu Daniel Orogo mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchin Kenya,akitujalia hali ilivyo kwa sasa,baada ya Rais Ruto kutousaini muswada wa sheria ya Fedha na kile wananchi wa Kenya wanachozungumza baada ya maamuzu hayo.



