NZITO YA LEO “NIMETOKEA KUMPENDA BABA MWENYE NYUMBA NILIYOPANGA , ANA MKE NA WATOTO NA NIMESHINDWA KABISA KUZIFICHA HISIA ZANGU”

In Mahusiano

Ndugu  zangu, naombeni  nisielewke  vibaya, naombeni ushauri Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26. Nina mwaka wa kwanza tangu nianze kujitegemea mara baada ya kumaliza shule. Nimepanga kwenye nyumba moja iliyoko  maeneo ya  Mbezi.

Tatizo langu ni kwamba nimetokea kumpenda  sana  baba mwenye nyumba wangu ambaye ana watoto na familia. Kila nikijibaraguza siwezi.

Nimefanya  kila  mbinu  kuzificha  hisia  zangu  lakini  nimeshindwa.Kimsingi simpendi mwanamume mwingine zaidi yake.

Nisaidie kuniepusha na mtihani huu  mgumu. Asanteni

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WATANZANIA WATAKIWA KUIUNGA MKONO JKT QUEENS

MKUU wa JKT Meja Jenerali RAJABU MABELE, amewataka watanzania kuiunga mkono timu ya JKT Queens inayokwenda kuliwakilisha Taifa na

Read More...

SERIKALI YATOA BIL 424.6 UTEKELEZAJI MIRADI YA TANRODS RUKWA-ENG MWANGA

KATIKA kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu