MNADA WA ALMASI WDL WAZIDI KUPAMBA MOTO.

In Uchumi

Leo tarehe 20 Februari, 2020 mnada wa asilimia tano ya madini ya almasi kutoka katika Mgodi wa Williamson Diamond Limited (WDL) umeendelea kupamba moto baada ya wadau wengi wa madini kuendelea kujitokeza.

Akizungumza kupitia mahojiano maalum, Meneja wa Biashara ya Madini wa Tume ya Madini, George Kaseza amesema kuwa kumekuwepo na mwitikio mkubwa kwenye uwasilishaji wa zabuni mbalimbali katika kituo cha ununuzi wa madini cha Mwadui (Mwadui Buying Centre)

Mnada huo umeanza tangu tarehe 18 Februari, 2020 ambapo wanunuzi wadogo wa madini ya almasi wananunua madini hayo na kwenda kuuza kwa wauzaji wakubwa wa madini waliopo katika Soko la Kimataifa la Dhahabu na Almasi lililopo Shinyanga Mjini.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WATANZANIA WATAKIWA KUIUNGA MKONO JKT QUEENS

MKUU wa JKT Meja Jenerali RAJABU MABELE, amewataka watanzania kuiunga mkono timu ya JKT Queens inayokwenda kuliwakilisha Taifa na

Read More...

SERIKALI YATOA BIL 424.6 UTEKELEZAJI MIRADI YA TANRODS RUKWA-ENG MWANGA

KATIKA kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu