Mkuu wa Wilaya atoa Amri Afisa Maliasili akamatwe

In Kitaifa

Mkuu wa Wilaya ya Momba Mkoa wa Songwe Fakii Lulandala ametoa amri ya kukamatwa na kuhojiwa kwa saa arobaini na nane Afisa Maliasili Joseph Mayova Mbogela kwa kosa la kutoa kibali cha uvunaji miti kinyume cha sheria.

Lulandala amchukua hatua hiyo baada ya kumkuta Daniel Austin Simbeye mkazi wa Jijini Mbeya akikata miti katika Kijiji cha Ikana akidai kupewa kibali cha kuvuna misitu na Afisa malialisili Joseph Mbogela.

Aidha ametoa onyo kwa watumishi wengine kuacha kutoa vibali vya uvunaji misitu kinyume cha sheria.

Katazo la uvunaji miti Wilaya ya Momba lilitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe mwaka 2022 na mpaka sasa agizo hilo bado halijatenguliwa.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WATANZANIA WATAKIWA KUIUNGA MKONO JKT QUEENS

MKUU wa JKT Meja Jenerali RAJABU MABELE, amewataka watanzania kuiunga mkono timu ya JKT Queens inayokwenda kuliwakilisha Taifa na

Read More...

SERIKALI YATOA BIL 424.6 UTEKELEZAJI MIRADI YA TANRODS RUKWA-ENG MWANGA

KATIKA kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu