JPM afungua karakana kuu ya JWTZ

In Kitaifa


Rais wa Tanzania John Joseph Pombe Magufuli,leo amefungua
karakana kuu ya Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ Lugalo
jijini Dar es Salaam, iliyojengwa kwa msaada wa serikali ya
Ujerumani.
Katika tukio hilo serikali ya Ujerumani imewakilioshwa na
balozi wake hapa nchini Bi Reginiacy ambaye alipata nafasi ya
kuzungumza na kutoa ujumbe wake kidogo, kwa kutumia lugha
ya kiswahili.

Baada ya balozi wa Ujerumani kuzungumza alifuatiwa na mkuu
wa majeshi ya ulinzi hapa nchini Gen Venance Mabeyo, ambaye
amezungumzia ujenzi wa karakana hiyo pamoja na gharama
zilizotumika mpaka kukamilika kwake.

Hatimae mgeni rasmi Rais Dkt John Pombe Magufuli, akapata
wasaa wa kuzungumza katika tukio hilo, ambapo pamoja na
mambo mengine ameishukuru sana serikali ya Ujerumani kwa
msaada huo.

Lakini pia rais Magufuli akatumia fursa hiyo kuzungumzia
ugonjwa wa koroma, na kuwataka watanzania kutopuuzia
tahadhari zinazotolewa juu ya ugonjwa huo, na kusitisha safari
za safari za ndege za ATCL kwenda India

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Tanzania, Marekani zasaini makubaliano ya Dola Bilioni 3.14 kuimarisha sekta ya afya

Serikali za Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika sekta ya afya ya

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu