Mwili wa Baba yake Belle 9 kuhifadhiwa Leo

In Burudani

Mwili wa Baba mzazi wa Msanii wa Kizazi Kipya, Belle9 unatarajiwa Kuhifadhiwa  leo huko nyumbani kwake Mkoani Morogoro.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Manager wa Msanii huyo JAZ, amesema mzee huyo atazikwa leo kutokana na mwili wake Kuumia Vibaya.

“Ni kweli baba yake Belle 9 amefariki jana na mazishi ni leo saa nane kwasababu ameumia sana kwahiyo msiba hauwezi kukaa muda mrefu”Alisema JAZ wakati anaongea na kipindi cha FUNIKO BASE.

Marehemu Mzee,  huyo alifariki usiku wa kuamkia jana baada ya kugongwa na Pikipiki iliyokuwa kwenye mwendo Kasi ambapo Pia Dereva wa Pikipiki hiyo naye aliumia Vibaya.

RADIO 5 TUNATOA POLE KWA BELLE9 NA MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA.

 

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Tanzania, Marekani zasaini makubaliano ya Dola Bilioni 3.14 kuimarisha sekta ya afya

Serikali za Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika sekta ya afya ya

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu