Rihanna BILIONEA

In Kimataifa

Jarida la Forbes limemtaja Rihanna kama mwanamuziki wa kike tajiri zaidi ulimwenguni akiwa na utajiri wenye thamani ya dola bilioni 1.7 sawa na zaidi ya Tsh. Trilioni 3.9 huku kiasi kikubwa cha fedha kikitokana na biashara zake za urembo.

Inaelezwa kuwa zaidi ya dola bilioni 1.4 ambazo ni sawa na Tsh Trilioni 3.2 zinatokana na biashara yake ya urembo (Fenty Beauty) huku Savage X Fenty pekee ina thamani ya dola milioni 270 sawa na Tsh Bilioni 4.8.

Rihanna amejiunga rasmi na klabu hiyo ya Mabilionea akimfuata Oprah Winfrey kama waburudishaji “entertainer”  wa kike matajiri zaidi duniani

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Tanzania, Marekani zasaini makubaliano ya Dola Bilioni 3.14 kuimarisha sekta ya afya

Serikali za Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika sekta ya afya ya

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu