Taka amepiga marufuku hoteli zote kubwa za kitalii kuuza bidhaa za kitamaduni

In Kitaifa

Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Mh Rashid Taka amepiga marufuku hotel zote kubwa za kitalii kuuza bidhaa za
kitamaduni kwani kuendelea kuuza bidhaa hizo ni kuwanyima fursa wenyeji kufanya biashara hizo za kitamaduni na hivyo kutoa miezi 4 mpaka kufikia tarehe 30 juni wawe wamemaliza kuuza bidhaa za kitamaduni zilizopo kwenye hoteli zao au kuzirudisha katika maboma ya kitamaduni (cultural tourism) .

Ametaka bidhaa hizo za kitamaduni ziwe zinauzwa katika maboma ya kitamaduni ili kulinda na kutunza utamaduni wa wenyeji badala ya kuwaibia ujuzi na ubunifu wao.

Ametoa katazo /agizo hilo wakati wa ugawaji wa mifugo 624 walipatikana kupitia boma la utalii wa kitamaduni la Ndemwa lililopo katika kata ya Olbalbal Wilaya ya Ngorongoro.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WATANZANIA WATAKIWA KUIUNGA MKONO JKT QUEENS

MKUU wa JKT Meja Jenerali RAJABU MABELE, amewataka watanzania kuiunga mkono timu ya JKT Queens inayokwenda kuliwakilisha Taifa na

Read More...

SERIKALI YATOA BIL 424.6 UTEKELEZAJI MIRADI YA TANRODS RUKWA-ENG MWANGA

KATIKA kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu