Huu ndiyo msimamo wa Nape.

In Siasa

Mbunge wa Jimbo la Mtama Nape Nnauye yupo Jimboni kwake ambapo kabla ya kushuhudia fainali ya Kombe la Dunia amezungumza na Wananchi wake juu mambo mbalimbali ikiwemo msimamo wake juu ya bei ya zao la Korosho.

“Duniani kazi ya Serikali ni kukusanya kodi, katika kupambana na umasikini wetu nilijua moja ya tatizo kubwa ni bei ya mazao yetu, wakazi wa Mtama ni wakulima na Mimi kwa kuwatetea wananchi sitojali hatua yoyote serikali itakayochukua” amesema Nape

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

SOKA LA KIMATAIFA NA FUNUNU ZAKE

Real Madrid bado wanataka kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Brazili Neymar, lakini wanataka hakikisho kutoka Paris St-Germain kuhusu hali

Read More...

(TAMISEMI) KUTOA TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani S Jafo kesho tarehe 23 Mwezi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu